Posted on: June 13th, 2019
Serikali imetoa shilingi bilioni tatu nukta nane kwa ajili ya ununuzi wa kivuko cha kisasa kwa ajili ya kusafirishia abiria kutoka bandari ya Nyamisati wilayani Kibiti kwenda Wilayani Maifa ili kuondo...
Posted on: June 12th, 2019
Serikali Mkoani Pwani ,imewaasa wenye viwanda kuhakikisha wanazalisha bidhaa zinazokidhi matakwa ya kisheria ya vipimo, ili kumlinda mteja,uchumi wa nchi na kupata tozo stahiki.
Aidha amezitaka ,ma...
Posted on: June 7th, 2019
Wananchi wa Mkoa wa Pwani wametahadharishwa kujikinga na ugonjwa wa homa ya Dengue ambapo hadi sasa kuna wagonjwa 42 wanaougua ugonjwa huo.
Hayo yalisemwa mjini Kibaha na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhan...