Posted on: March 23rd, 2018
Serikali imetoa kiasi cha shilingi billion 5.653 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa vituo 13 vya afya Mkoani Pwani
Kwa Mujibu wa Mganga mkuu wa Mkoa dk Yudas Ndungile amesema fedha hizo zitato...
Posted on: December 20th, 2017
#Kwa mara ya kwanza Serikali katika mwaka wa fedha 2017/2018 imetenga kiasi cha Bil.11 kwaajili ya kufanikisha masuala ya Lishe ikimaanisha kila mtoto ametengewa tsh.1000, nawasihi wakuu wa ...
Posted on: December 8th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Mhandisi Evarist Ndikilo ameliagiza Jeshi la Polisi Mkoani Pwani, kuwasaka wale wote waliohusika kuwapa mimba wanafunzi 20 waliokosa kuhitimu elimu ya msingi mwaka huu.
...