Posted on: May 2nd, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge leo mei 2, 2023 ametembelea, kukagua, kusikiliza na kutatua kero za wasafiri kwenye Kituo cha Mabasi cha kibaha (Kibaha Bus Terminal).
Akiwa kwenye ukag...
Posted on: May 1st, 2023
Mkoa wa Pwani umeelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri kutozalisha madeni kwa wafanyakazi ambayo mara nyingi hutokana na uhamisho wa vituo vya kazi.
Hayo yalielezwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Kanali ...
Posted on: April 28th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge amezihamasisha halmashauri za mkoa huo kuanzisha redio za kijamii ili kuweza kutoa taarifa zitakazosaidia kutatua changamoto katika jamii kwa kuhabarisha, k...