Posted on: September 1st, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Pili Mnyema amewapongeza watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga kwa uratibu, usimamizi na ufuatiliaji wa utekelezaji wa Miradi ya maendeleo kwa ufanisi.
Pongezi ...
Posted on: August 31st, 2025
Serikali ya Zimbabwe leo imetoa heshima na shukrani kwa Tanzania kwa mchango wake mkubwa katika kuzikomboa nchi za Kusini mwa Afrika.
Akizungumza Kaole – Bagamoyo leo Agosti 31, 2025 Makamu wa Pili...
Posted on: August 29th, 2025
Wilaya ya Rujiji imepata tiba ya changamoto mgogoro wa ardhi kati ya wakulima na wafugaji katika Kijiji cha Nyamwage kwa kuligawia kila kundi eneo la kuendeshea shughuli zake.
Katika kutekeleza hil...