Posted on: October 13th, 2023
Serikali imesema ifikapo mwishoni mwa Mwezi Novemba Mwaka huu Ujenzi wa Mtambo wa kupoza Umeme katika Ktuo cha Chalinze utakuwa umekamilika na hivyo kuondoa kabisa chamgamoto ya Umeme nchini.
Hayo ...
Posted on: October 12th, 2023
Idadi ya watu wazima wanaojua kusoma, kuandika na kuhesabu nchini imepungua kutokana na Serikali kuanzisha program mbalimbali kuliwezesha kundi hilo kupata maarifa.
Hayo yamebainishwa na Mratibu wa...
Posted on: October 12th, 2023
Maafisa TEHAMA nchini, wameaswa kwenda na wakati ,kupenda kujifunza kulingana na teknolojia inavyobadilika ili kujiongezea uzoefu na ujuzi.
Aidha wawe wabunifu ,wajitume ili kuacha alama na tija ka...