Posted on: June 7th, 2025
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Bw. Rashid Mchatta, mnamo tarehe 4 Juni 2025, amefunga rasmi Mashindano ya Michezo ya UMISSETA ngazi ya mkoa yaliyoshirikisha Halmashauri zote tisa za Mkoa wa Pwani.
...
Posted on: June 3rd, 2025
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Rashid Mchatta, leo amepokea ugeni kutoka Ofisi ya Rais – TAMISEMI, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia masuala ya afya, Profesa Tumaini Nagu.
Ziara hiy...
Posted on: June 3rd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mheshimiwa Abubakar Kunenge, ameongoza kikao kazi muhimu cha wataalamu kilicholenga kupokea na kupitia Taarifa ya Pato la Mkoa (GDP) pamoja na wasifu wa Mkoa huo.
Kikao hicho...