Posted on: February 20th, 2023
Hospitali ya Rufaa ya mkoa ya Tumbi, Mkoani Pwani imeanza kutoa huduma ya kusafishwa damu pamoja na mashine za CT-scan pamoja na X-ray za kielektroniki.
Mkuu wa mkoa wa Pwani alhaj Abubakari Kuneng...
Posted on: February 15th, 2023
Raia wawili wa kigeni wamekamatwa wakiishi katika eneo la Mapinga Kibosha Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kinyume cha sheria za nchi.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya usa...
Posted on: February 13th, 2023
Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imepata mshauri mwelekezi kujenga bwawa kubwa kwenye Mto Rufiji eneo la Mloka ambalo litazalisha lita milioni 750 za maji kwa siku.
Hayo...