Posted on: January 5th, 2023
Serikali Mkoani Pwani,imelikabidhi Jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Kampuni Ya GoMAMA yenye mtaji na hisa ya Bilioni 50.
Akitoa rai wakati wa makabidhiano ya majukumu ya Kampuni ya wanawake y...
Posted on: January 4th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe Abubakar Kunenge ameeleza Nia ya Mkoa huo ni kuendelea kufungua mtandao wa miundombinu bora ya barabara inayoakisiana na kasi ya uwekezaji iliyopo Mkoani humo.
Aidha ameel...
Posted on: December 30th, 2022
Serikali Mkoani Pwani, imewaasa wananchi wa kata ya Chemchem ,Utete wilayani Rufiji Mkoani Pwani kutoa ushirikiano kwa mwekezaji wa mradi mkubwa wa uzalishaji Sukari Lake Agro sugar estates, unaotaraj...