Posted on: November 16th, 2022
Mkoa wa Pwani umeendelea na mikakati ya kuhakikisha wafanyabiashara na wenye viwanda wanazalisha bidhaa bora na zenye viwango.
Hayo yamesemwa Mjini Kibaha na Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Viwand...
Posted on: November 11th, 2022
Mkoa wa Pwani umetekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ya kusafisha Bonde la Mto Ruvu ili kuwezesha upatikanaji wa maji kwa matumizi ya binadamu.
Hayo...
Posted on: November 9th, 2022
Wakuu wa wilaya mkoa wa Pwani wamesaini mkataba wa usimamizi wa lishe ,ambao watapaswa kuusimamia utekelezaji wake kwa kipindi cha miaka minane ili kupunguza vifo na udumavu kwa watoto .
Mkataba hu...