Posted on: January 4th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe Abubakar Kunenge ameeleza Nia ya Mkoa huo ni kuendelea kufungua mtandao wa miundombinu bora ya barabara inayoakisiana na kasi ya uwekezaji iliyopo Mkoani humo.
Aidha ameel...
Posted on: December 30th, 2022
Serikali Mkoani Pwani, imewaasa wananchi wa kata ya Chemchem ,Utete wilayani Rufiji Mkoani Pwani kutoa ushirikiano kwa mwekezaji wa mradi mkubwa wa uzalishaji Sukari Lake Agro sugar estates, unaotaraj...
Posted on: December 23rd, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge ametoa wito kwa wakazi wa mkoa huo kufuata moyo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan wa kuwasaidia watoto yatima na wanaoishi ...