TAARIFA KWA UMMA.
Mhe Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist W. Ndikilo ametoa Tamko la kuzuia ufungashaji, uuzaji na ununuzi wa bidhaa kwa mtindo wa Lumbesa, kwamba ni marufuku kwa wakulima, wazalishaji na wafanyabiashara Mkoani Pwani KUFUNGASHA,KUUZA au KUNUNUA bidhaa kwa mtindo wa LUMBESA au KANGOMBA (kwa zao la Korosho) kuanzia tarehe 25/4/2016.
Bonyesha hapa kusoma TAMKO hilo kwa kina.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.