Katika kuhakisha huduma ya Maji inapatikana ipasavyo Mkoa wa Pwani unahudumiwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira ya Vijijini (RUWASA) na Mamlaka ya Maji safi na Mazingira Dar ES Salaam (DAWASA). Hadi kufikia mwezi Juni, 2025 hali ya upatikanaji wa huduma ya maji ni wastani wa asilimia 88.05 ya wakazi wote wa Mkoa wa Pwani, ambapo asilimia 83.1 ni wakazi wa maeneo ya Vijijini na asilimia 93 ni wakazi wa maeneo ya mijini wanapata huduma ya maji safi na salama.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.