• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

Makamu wa Rais awatoa hofu Wakazi wa kijiji cha Pande Bagamoyo

Posted on: October 28th, 2018

Wakazi wa kijiji cha Pande, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ambao wamehamishwa kupisha mradi wa bandari mpya ya Bagamoyo wameiomba serikali kuwasaidia kulipwa fidia na kuhamishiwa katika makazi mapya

Akitoa kilio hicho kwa niaba ya wakazi wa maeneo hayo ,wakati makamu wa Rais Samia Suluhu alipokwenda eneo la Mbegani kutembelea ujenzi huo, mwenyekiti wa kitongoji cha Pande Muhsin Mweka alisema walipangiwa kwenda eneo la Kitopeni na Kidagoni lakini wameshindwa kwenda kutokana fidia kutokamilika.

Alisema kuwa baadhi ya watu walilipwa fidia lakini wengine hawajalipwa huku wengine wakiwa wamepunjwa fidia zao kwa kulipwa kidogo fedha ambazo hazitoshi kununulia maeneo mengine.

“Wapo waliolipwa hapa hadi laki moja, milioni tano na milioni moja kiasi ambacho hakikidhi, hatujakataa kupisha mradi ila makubaliano yetu hayajatekelezwa “alisema Mweka.

Nae mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Dk Shukuru Kawambwa alisema kuwa Kijiji hicho kina kaya 2,200 sawa na watu 16,500 ambao wanatakiwa kuhama eneo hilo.

Kawambwa aliendelea kasema kuwa, jambo hilo limekuwa ni changamoto kubwa hivyo kuna haja ya kuhakikisha suala hilo linafikia mwisho.

Akijibu hoja hizo,makamu wa Rais Samia Suluhu alisema kuwa , suala hilo amelichukua na atalipeleka kwa Rais baada ya kukaa na mamlaka husika ,wizara ya ardhi, bandari na EPZA ili kulipatia ufumbuzi.

Samia alifafanua malalamiko yote yatafanyiwa kazi na serikali haitadhulumu mtu haki yake.

Alisema kuhamisha watu hao ni fedha nyingi zinahitajika na kuna taarifa kuwa hata wale walioko eneo la Kitopeni na Kidagoni bado hawalipwa fidia zao .

Alifafanua apewa taarifa awali kuna watu 600 walipatiwa fidia ambazo hazikuwa haki zao ambazo zingesaidia kuwalipa waliostahiki.

Samia aliwahakikishia serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama vinafuatilia wahusika hao ili kurejesha fedha hizo.

Aliitaka halmashauri kuziweka fedha za fidia ya shule na zahanati zinazotolewa eneo hilo bila kutumia kwa matumizi mengine kwani inapaswa nguvu zao zibakie.

Matangazo

  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Uzinduzi wa Program Jumuishi ya Malezi , Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto Mkoa wa Pwani October 04, 2023
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA PWANI, OKTOBA 11,2023 October 10, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RS Pwani Yaibuka Kidedea kwa Ushindi wa "-1 Dhidi ya Kibaha TC

    May 01, 2025
  • Rais Samia Apongezwa kwa kuwa Kiongozi wa Mfano katika Maadhimisho ya Mei Mosi Mkoani Pwani

    May 01, 2025
  • RC Kunenge Aagiza CORECU Kutekeleza Maomo ya Rais Samia Kuhusub Ushirika

    April 30, 2025
  • Spika Tulia Asisitiza Umuhimu wa Muungano katika kuimarisha Umoja na Amani

    April 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.