• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

Matokeo ya Shule ya Sekondari Hassanal Damji yamkera RC Ndikilo

Posted on: February 7th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mheshimiwa Evarist Ndikilo  amesikitishwa na amechukizwa na matikeo ya kidato cha nne  shule ya Sekondsari  Hassanal Damji iliyoko kata ya magomeni ,katika Halmashauri  ya Wilaya ya Bagamoyo kwa kupata alama ya sifuri(zero) kwa wanafunzi 68 na utoro uliokithiri.

Kutokana na matokeo hayo  ametoa miezi miwili kwa Mkuu wa Wilya ya Bagamoyo, Watendaji wa mitaa, Kata na Vitongoji  kufuatilia chanzo kilichosababisha Wafunzi  hao kufeli kiasi hicho wakati shule hiyo ina walimu 57 ambao wanatosha kutoa matokeo bora.

Akizungumza na viongozi , walimu na wanafunzi wa shule hiyo, wakati wa Ziara yake Mkoani hapi, Mhandisi Ndikilo alisema kuwa amesikitishwa sana na matokeo hayo hivyo kuna kila sababu    ya kuchukua hatua mapema kurekebisha  kasoro zilizopo ili shule iweze kutoa matokeo bora mwakani.

Aliwaasa wanafunzi  hao kuacha utoro na kupotelea vichakani wakati wa vipindi badala yake wahudhurie masomo ili kuinua taalama zao na kuifanya shule yao kuwa na matokeo  bora.

“Acheni kuchezea elimu kwani ni msingi na ufunguo wa maisha yao ya baadae,Mnakunywa uji shuleni, walimu wapo wa kutosha , kwanini wanafunzi hawahudhurii masomo”

“Matokeo haya si  ya kufurahisha division two ni wanafunzi 2, division three ni wanafunzi 6 , na four wapo 72, na sifuri 68 ufaulu huu lazima tuuchukulie hatua ili wanafunzi waweze kufaulu zaidi” alisema Mhandisi Ndikilo.

Katika hatua nyingine Mhandisi Ndikilo amewaagiza Wakuu wote wa Wilaya za Mkoa Pwani kufanya Msako wa Kuwasaka watoto wa jamii ya wafugaji ambao hawajapelekwa shule na kuhakikisha wanakwenda shule na si kubaki nyumbani na kujishughulisha na shughuli za uchungaji wa mifugo.

Awali Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Zainabu  Kawawa alisema utoro shuleni hapo upo kwa asilimia 15 jambo ambalo sio zuri.

Alisema pia amejipanga kuanzisha kampeni ya TOKOMEZA UTORO ili kuondoa changamoto hiyo mashuleni hapo.

Matangazo

  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Uzinduzi wa Program Jumuishi ya Malezi , Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto Mkoa wa Pwani October 04, 2023
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA PWANI, OKTOBA 11,2023 October 10, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RS Pwani Yaibuka Kidedea kwa Ushindi wa "-1 Dhidi ya Kibaha TC

    May 01, 2025
  • Rais Samia Apongezwa kwa kuwa Kiongozi wa Mfano katika Maadhimisho ya Mei Mosi Mkoani Pwani

    May 01, 2025
  • RC Kunenge Aagiza CORECU Kutekeleza Maomo ya Rais Samia Kuhusub Ushirika

    April 30, 2025
  • Spika Tulia Asisitiza Umuhimu wa Muungano katika kuimarisha Umoja na Amani

    April 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.