• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

MKUU WA MKOA WA PWANI AUNDA KAMATI MAALUM YA KUCHUNGUZA TATIZO LA UTORO.

Posted on: May 12th, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist W. Ndikilo ameunda kamati maalum ya kuchunguza tatizo la ongezeko la utoro kwa wanafunzi katika shule za msingi na sekondari katika Mkoa wa Pwani.

Kauli hiyo aliitoa wakati wa kilele cha maadhimisho ya juma la Elimu Mkoa wa Pwani lililofanyika Wilayani Mkuranga. Mhe. Ndikilo alisema kuwa  amelazimika kuunda kamati hiyo baada ya tatizo la utoro kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kuzidi kuongezeka kwa kasi kubwa hasa kuanzia mwaka uliopita.

Aidha alisema kuwa kamati hiyo ambayo imeanza kufanya kazi tarehe 09/05/2017 imepewa jukumu kubwa la kuchunguza kwa kina sababu zinazopelekea wanafunzi kutohudhuria shuleni wakati serikali imeondoa michango yote katika sekta ya Elimu pamoja na shughuli wanazofanya wanafunzi hao ili wasije wakawa wanakatishwa masomo na kwenda kujiunga na makundi ya uhalifu.

Pia amekemea tabia ya baadhi ya wazazi ambao wanakwamisha jitihada za Serikali kuinua kiwango cha Elimu na ufaulu kwa kuwashawishi watoto wao kuandika majibu ya uongo wakati wa darasa la saba ili wasifaulu. Kwa mujibu wa Mkuu  wa Mkoa, katika kipindi cha miaka miwili zaidi ya wanafunzi elfu mbili ni watoro shuleni na wengine wamekatisha kabisa masomo.

Kwa upande wake Afisa Elimu wa Mkoa wa Pwani Bi. Germana  Mng’aho amesema licha ya kuwepo kwa changamoto ya utoro  wa rejareja kwa wanafunzi na Sekondari bado sekta ya Elimu katika Mkoa wa Pwani inakabiliwa na changamoto kubwa ya uchakavu wa miundombinu pamoja na uhaba wa vyumba vya madarasa jambo ambalo linasababisha baadhi ya wanafunzi kusomea nje chini ya miti.

Matangazo

  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Uzinduzi wa Program Jumuishi ya Malezi , Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto Mkoa wa Pwani October 04, 2023
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA PWANI, OKTOBA 11,2023 October 10, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RS Pwani Yaibuka Kidedea kwa Ushindi wa "-1 Dhidi ya Kibaha TC

    May 01, 2025
  • Rais Samia Apongezwa kwa kuwa Kiongozi wa Mfano katika Maadhimisho ya Mei Mosi Mkoani Pwani

    May 01, 2025
  • RC Kunenge Aagiza CORECU Kutekeleza Maomo ya Rais Samia Kuhusub Ushirika

    April 30, 2025
  • Spika Tulia Asisitiza Umuhimu wa Muungano katika kuimarisha Umoja na Amani

    April 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.