• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

RC Ndikilo ashtushwa na Mapato yanayokusanya na HJalmashauri ya Wilaya Kibahaa

Posted on: February 11th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist Ndikiloametoa siku mbili kwa Viongozi wa wauza mitumba maarufu kama warumba, kupeleka orodha ya wafanyabiashara wanaofanya shughuli hiyo kwenye maeneo ya Janga na Mtongani Mlandizi Wilayani Kibaha.

Uamuzi huo umetolewa wakati Mkuu wa Mkoa wa Pwani akizungumza na Wafanya biashara wa kitongoji cha Mtongani waliogoma kufaanya  biashara kwenye eneo la soko  jipya kwa zaid ya wiki tatu wakidai eneo walilopelekwa kuwa ni dogo na si rafiki, huku Halmashauri ikisema sehemu wanayofanyia biashara si sahihi  kwani kuna miundombinu ya umeme yaani  Gridi ya Taifa na limepitiwa na Bomba la Gas.

“Nimekuja hapa kukutana nanyi  ili kupata muafaka kwani hata idadi ya wafanyabiashara wangapi mpo eneo hili haieleweki , kwani Halmashauri inasema mpo 250 hadi 280 huku nyie mkisema mpo  1,000 ,hali ambayo hata ukusanyaji wa mapato yanakuwa  hayana uhalisia kwani Halmashauri inasema  inakusanya 100,000,kuna tatizo hapa kwa Halmashauri na wafanyabiashara” alisema Mhamdisi Ndikilo.

Mhandisi Ndikilo ameagiza kuchunguzwa kwa suala hili lenye taarifa zinazokizana na majibu yatolewe jumatano baada ya vyombo husika kufanya uchunguzi.

“Nimetembelea maeneo yote mnayofanyia biashara  hivi na kule mnakotaka kupelekwa, leo nataka miletee orodha ya wafanyabiashara wanaofanya kwenye mnada wa jumapili ili tukitoa maamuzi yawe sahihi kila upande upate haki yake”alisema Mhandisi Ndikilo.

Naye Mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini Hamoud Jumaa amewaomba wafanya biashara hao kuwa watulivu na kutoa ushirikiano katika kupata ukweli wa jambo hilo ili waweze kujua hatma yao.

Mbuge Jumaa amewafafanulia wafanyabiashara hao kuwa Mkuu wa Mkoa kutaka orodha yao ni kutaka kujiridhisha na kujua ukweli wa idadi kamili ya wafanyabiashara waliopo kwani kama wako zaid ya 1,000 na fedha zinzopatikana kwenye makusanyo haya sas hakuna usahihi hivyo lazima ajiridhishe na kutoa maamuzi sahihi.

Matangazo

  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Uzinduzi wa Program Jumuishi ya Malezi , Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto Mkoa wa Pwani October 04, 2023
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA PWANI, OKTOBA 11,2023 October 10, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RS Pwani Yaibuka Kidedea kwa Ushindi wa "-1 Dhidi ya Kibaha TC

    May 01, 2025
  • Rais Samia Apongezwa kwa kuwa Kiongozi wa Mfano katika Maadhimisho ya Mei Mosi Mkoani Pwani

    May 01, 2025
  • RC Kunenge Aagiza CORECU Kutekeleza Maomo ya Rais Samia Kuhusub Ushirika

    April 30, 2025
  • Spika Tulia Asisitiza Umuhimu wa Muungano katika kuimarisha Umoja na Amani

    April 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.