Posted on: August 5th, 2020
Maagizo mbalimbali aliyotoa Rais JOHN POMBE MAGUFULI mkoani Pwani katika wilaya tatu za Mkuranga , Kibiti na Rufiji yametekelezwa na mengine yameshaanza kufanyiwa kazi.
Maagizo hayo ni pamoja na ku...
Posted on: August 3rd, 2020
MKuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala huku akimuelekeza kushughulikia changamoto mbalimbali za wananchi ikiwa ni pamoj...
Posted on: July 29th, 2020
Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Dkt Delphine Magere ,amewataka watumishi katika Ofisi yake kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi na kuzingatia taratibu za utumishi wa umma.
Akiwa katika kikao cha kawai...