Posted on: May 4th, 2022
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Sahii Geraruma amesisitiza wajawazito kuanza kliniki mapema na kula lishe bora kwa afya ya mama na mtoto na kuwasihi wanyonyeshe watoto ili wawe na virutubi...
Posted on: May 3rd, 2022
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Sahil Geraruma, ameiasa jamii kulinda na kuhifadhi tanki la Kisima na kujiepusha na jambo lolote linaloweza kuleta madhara kwa watumiaji.
Akizindua mradi...
Posted on: May 1st, 2022
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Sahil Geraruma amewaasa viongozi, watendaji na wataalamu wa Halmashauri kusimamia fedha za miradi na kujenga tabia ya kuhifadhi nyaraka za ujenzi wa miradi ...