Posted on: March 27th, 2018
“Napenda kutoa Rai kwa Wakulima wote wa Korosho Mkoa Pwani, kuwa waende katika shamba darasa la Ruvu JKT kwa ajili ya kujifunza namna ya upandaji wa miche ya Korosho ya kisasa”.
Rai hiyo ...
Posted on: March 25th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist Ndikilo, ameutaka uongozi wa DAWASA Mkoani Pwani kuhakikisha wanawasimamia vizuri wakandarasi waliopewa kutekeleza mradi wa usambazaji maji katika mae...
Posted on: March 23rd, 2018
Serikali imetoa kiasi cha shilingi billion 5.653 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa vituo 13 vya afya Mkoani Pwani
Kwa Mujibu wa Mganga mkuu wa Mkoa dk Yudas Ndungile amesema fedha hizo zitato...