Posted on: March 15th, 2024
Katibu Tawala Mkoa wa Pwani ambaye pia ni Skauti Mkuu wa Tanzania Rashid Mchatta ameeleza kuwa maadhimisho ya siku ya albino Duniani kwa mwaka 2024 yamepangwa kufanyika Kibaha Mkoani Pwani.
Ameyas...
Posted on: March 12th, 2024
Serikali Mkoani Pwani imetoa eneo lenye ukubwa wa ekari 1000 ili lipimwe viwanja na kugawiwa kwa wakazi wanaoishi kwenye eneo oevu kwenye kitongoji cha Kisabi Mlandizi Wilaya ya Kibaha.
Hayo yameba...
Posted on: March 8th, 2024
Wanawake wa mkoa wa Pwani wameaswa kutumia vyema fursa zinazotolewa na serikali kukuzia uchumi wa familia zao.
Hayo yamesewa na mbunge wa viti maalum wa mkoa huo Subira Mgalu kwenye kilele cha maad...