Posted on: April 4th, 2018
Mkoa Pwani, umetekeleza wito wa serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa Rais John Pombe Magufuli wa kujenga viwanda vya madawa na vifaa tibana Vitendanishi ambapo ...
Posted on: April 1st, 2018
Kiwanda cha kutengeneza nguzo za zege cha Hunnan Power, kilichopo mjini Kibaha Mkoani Pwani kimefungwa kutokana na kukosa na soko , tangu uzalishaji uanze mwezi septemba mwaka jana.
...
Posted on: March 28th, 2018
Jeshi la Polisi Mkoa Pwani limewakamata wahamiaji haramu 10, kwa kosa la kuingia nchini bila kibali.
Akiongea na waandishi wa Habari ofisini kwake mwanzoni mwa wiki hii, Kamanda wa Polisi Mko...