Posted on: January 5th, 2023
Mkuu wa mkoa wa Pwani, alhaj Abubakari Kunenge amezitaka Halmashauri na Taasisi za Serikali kuhakikisha zinaongeza mapato pamoja na kuibua vyanzo vipya vya mapato ili kuinua uchumi wa Mkoa.
Aidha a...
Posted on: January 5th, 2023
Ofisa Mipango na Uratibu Mkoani Pwani,Rukia Muwango ameeleza Mwaka wa fedha 2022/2023 mkoa huo umeidhinisha bajeti ya Bilioni 335.110.456.0 kati ya hizo ruzuku ya matumizi ya kawaida ni Bilioni 206.06...
Posted on: January 5th, 2023
Serikali Mkoani Pwani,imelikabidhi Jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Kampuni Ya GoMAMA yenye mtaji na hisa ya Bilioni 50.
Akitoa rai wakati wa makabidhiano ya majukumu ya Kampuni ya wanawake y...