Posted on: July 9th, 2025
Mkoa wa Pwani umeweka rekodi ya kipekee kwa kujipanga kutekeleza zoezi la chanjo na utambuzi wa mifugo ndani ya kipindi kifupi cha siku 30 pekee, tofauti na muda wa miezi miwili uliopangwa kitaifa na ...
Posted on: July 8th, 2025
Maafisa Habari wawili kutoka Mkoa wa Pwani wameshiriki katika warsha ya siku tano ya mafunzo ya mawasiliano ya kimkakati yaliyoandaliwa kupitia Programu ya Shule Bora. Mafunzo hayo yanafanyika katika ...
Posted on: July 3rd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge amesisitiza umuhimu wa viongozi na watendaji kutoa taarifa za utelezaji miradi ya Serikali kwa kutoa takwimu ili kuonesha ufanisi wa utendaji wa Serikali ya awam...