Posted on: June 9th, 2022
Mkoa wa Pwani, umepata mauzo kilo milioni 6.5 sawa na sh.bilioni 18 katika minada miwili ya awali kwa msimu wa mwaka huu 2022/2023.
Hayo yamebainika wakati mkuu wa Mkoa wa pwani abubaka...
Posted on: June 8th, 2022
Mashirika yasiyo ya kiserikali Mkoani Pwani wamemshukuru Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Kwakupewa ushirikiano na mazingira mazuri ya wao kuweza kutekeleza Miradi mbalimbali katika jamii ...
Posted on: May 30th, 2022
Mkuu wa Mkoa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge amewataka watalaam wa afya Mkoani hapo kutumia utaalamu wao na kuja na Mikakati mizuri ili kupata matokeo mazuri ya kupunguza vifo vya mama na mtoto wakati wa ...