Posted on: September 21st, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua kiwanda cha kutengeneza vioo cha Sapphire Float Glass Tanzania Limited, kilichopo kijiji cha Mkiu wilaya ya Mkuranga mkoani...
Posted on: September 20th, 2023
Serikali imetenga eneo la ukubwa wa hekta 60,000 kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji wa zao la mpunga katika wilaya ya Rufiji mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluh...
Posted on: September 15th, 2023
Mkoa wa Pwani, umezindua mfumo wa usafirishaji wa dharura kwa wajawazito waliojifungua na watoto wachanga (M MAMA)katika kituo cha kuratibu mawasiliano ya rufaa hospital ya mkoa Tumbi, Pwani....