Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Mafia kwa kufanikiwa kuongeza vyanzo vya mapato na kupata hati safi.
Kunenge ameyasema hayo katika kikao cha kujadili hoja za CAG kilichofanyika wilayani Mafia mkoa wa Pwani.
Amesema ,kama kuna vituambavyo Mhe.Rais anavisisitiza na kuvitekeleza, halmashauri nyingine zijifunze kuongeza vyanzo vya mapato, vyanzo vipya na kuwa na sheria mpya .
Kunenge ameitaka , halmashauri hiyo ya Mafia kuendelea kubuni na kuwa na vyanzo ambavyo vitaendelea kuongeza ukusanyaji wa mapato ili kuibadilisha Mafia
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.