Posted on: August 27th, 2025
Mkuu wa wilaya ya Kibiti Mhe. Kanali Joseph Samwel Kolombo amesema Wilaya hiyo imejipanga kutimiza malengo waliyowekewa na serikali ya uzalishaji wa korosho kufikia tani 14,000 kwa mwaka huu wa 2025.
...
Posted on: August 27th, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Pili Mnyema amewaelekeza wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti kuwa wabunifu kuibua Miradi mbalimbali ya Maendeleo kulingana na fursa zilizopo kwenye kwenye eneo lao...
Posted on: August 26th, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Pili Mnyema amesisitiza umuhimu wa watumishi kuwajibika kwa kufanya kazi kwa uadilifu, kuzingatia kanuni, taratibu, sheria na miongozo ya utumishi wa Umma.
Mnyema ametoa...