• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

Kamati ya Elimu, Utamaduni, na Michezo yatembelea Mkoa Pwani

Posted on: September 11th, 2024

Mwenyekiti wa kamati  Kudumu ya Bunge Elimu,Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Husna Juma Sekiboko, ameipongeza serikali ya awamu ya sita  chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa hatua nzuri za utekelezaji wa miradi ya maendeleo  hasa katika  ujenzi wa shule mpya za Sekondarii ambapo amesema maendeleo ya ujenzi huo unaridhisha  kwa kiasi kikubwa.

Pongezi hizo amezota Septemba 11 wakati kamati hiyo ilipofanya ziara yake ya kikazi ya siku moja ya ukaguzi wa miradi ya Elimu mkaoni hapa.

Kamati hiyo ilitembelea miradi miwili, ambayo ni Shule ya Sekondari ya Shimbo pamoja na Shule ya Elimu ya Watu Wazima, zilizopo Halmashauri ya Kibaha.

 Miradi yote iko katika hatua za mwisho za kukamilika, huku wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Shimbo wakiwa tayari wameshaanza masomo.

Baada ya ukaguzi, kamati kupitia kwa Mwenyekiti wake, Mheshimiwa Husna Juma, ilisisitiza umuhimu wa viwango vya ujenzi wa miradi hiyo kuwa sambamba na thamani ya fedha zinazotolewa na serikali. Pia, ilipendekeza miradi ya halmashauri kuwa na viwango sawa na ile ya Serikali Kuu, huku ikiwezekana kusisitizwa kubadilishana uzoefu kati ya wasimamizi wa miradi hiyo.

Kamati pia ilishauri serikali kuhakikisha fedha za miradi zinapelekwa kulingana na mahitaji ya maeneo husika ili kuepusha matumizi yasiyo sahihi. Mheshimiwa Husna alitoa mfano wa tofauti ya bei ya saruji kati ya mikoa ya Kigoma na Tanga, akibainisha kuwa hali hiyo inaweza kusaidia kupunguza matumizi mabaya ya fedha za miradi.

Aidha, kamati imeitaka Wizara ya Elimu kuhakikisha vitabu vyote vinavyosambazwa mashuleni vinapitiwa na kugongwa mhuri na Kamishna wa Elimu ili kuhakikisha vinaendana na maadili ya Kitanzania.

Kwa upande wake, Waziri wa Elimu, Mheshimiwa Adolf Mkenda, aliiagiza Halmashauri ya Kibaha kufuatilia suala la kukamilisha uzio wa shule, ambalo bado halijatekelezwa kikamilifu. Kuhusu suala la vitabu, Mheshimiwa Mkenda alisisitiza umuhimu wa kutoa kipaumbele kwa uandishi wa vitabu vya kiada ili kuendeleza na kulinda maadili ya Kitanzania.

Naye Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Prof. Michael Ng'umbi, alipendekeza kuanzishwa kwa kada maalum ya Elimu ya Watu Wazima katika vyuo vikuu ili kupata wataalamu waliobobea katika ufundishaji wa elimu hiyo.

Matangazo

  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Uzinduzi wa Program Jumuishi ya Malezi , Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto Mkoa wa Pwani October 04, 2023
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA PWANI, OKTOBA 11,2023 October 10, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RS Pwani Yaibuka Kidedea kwa Ushindi wa "-1 Dhidi ya Kibaha TC

    May 01, 2025
  • Rais Samia Apongezwa kwa kuwa Kiongozi wa Mfano katika Maadhimisho ya Mei Mosi Mkoani Pwani

    May 01, 2025
  • RC Kunenge Aagiza CORECU Kutekeleza Maomo ya Rais Samia Kuhusub Ushirika

    April 30, 2025
  • Spika Tulia Asisitiza Umuhimu wa Muungano katika kuimarisha Umoja na Amani

    April 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.