• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mahali tulipo
    • Dira na Dhima
    • Mamlaka
    • Majukumu na Kazi
    • Waliowahi kuwa Mkuu wa Mkoa
    • Waliowahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Raslimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Maji
      • Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
  • Wilaya
    • Kibaha
      • Kuhusu kibaha
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Bagamoyo
      • Kuhusu bagamoyo
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mafia
      • Kuhusu Mafia
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kisarawe
      • Kuhusu Kisarawe
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Mkuranga
      • Kuhusu mkuranga
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Rufiji
      • Kuhusu Rufiji
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
    • Kibiti
      • Kuhusu Kibiti
      • Utawala
      • Ulinzi na Usalama
  • Halmashauri
    • H/M Kibaha
    • H/W Kibaha
    • H/W Kisarawe
    • H/W Mafia
    • H/W Mkuranga
    • H/W Rufiji
    • H/W Kibiti
    • H/W Chalinze
    • H/W Bagamoyo
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Ardhi
    • Bandari ya Nchi Kavu
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Sheria
    • Hotuba
    • Fomu
    • Mpango Mkakati wa Mkoa
    • Fursa za Uwekezaji
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Nafasi za Kazi

Kiongozi wa Mbioa za Mwenge Kitaifa 2019 awataka Vijana kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya

Posted on: July 25th, 2019

Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa ,Mzee Mkongea Ali amekemea kilimo cha bangi kwani kinaharibu mazingira na kuweka rehani maisha na afya ya watumiaji ambapo asilimia kubwa ni nguvu kazi ya Taifa ambayo ni kundi la vijana.

Ameeleza,licha ya hayo serikali inaendelea kupambana na matumizi ya madawa ya kulevya ikiwemo,milungi,cocaine,heroine, bangi pamoja na kudhibiti mianya ya wauzaji wa madawa hayo ili kuokoa nguvu kazi hiyo ambayo inaangamia siku hadi siku.

Hayo aliyasema wakati mbio za mwenge wa uhuru Jaribu Mpakani, kata ya Mjawa wilayani Kibiti mkoani Pwani.

Mkongea alieleza Taifa letu bado kuna matumizi ya madawa ya kulevya hivyo tushirikiane kudhibiti na kupambana na janga hilo .

"Chakusikitisha vijana hawa wanaita bangi kwa majina mengi kama vile misuba,cha Arusha,jani,ganja,msokoto,Bob Marley na Jamaica lakini ukweli unabaki pale pale bangi ni bangi tu ,vijana tubadilike tupambane na janga hili na tujiingize katika shughuli za kujenga Taifa kuchapa kazi"alisisitiza Mkongea.

Hata hivyo, Mkongea aliwaasa vijana kuacha kuvuta bangi ,kujidunga sindano za madawa ya kulevya kwakuwa wanakuwa hatarini kupata ugonjwa wa ukimwi,moyo,ini,mapafu na hatimae kifo.

Akizungumzia suala la Ukimwi, mkimbiza mwenge kitaifa huyo alisema ugonjwa huo bado ni hatari jamii ijilinde na kuwa waaminifu.

"Watanzania takriban milioni 1.4 wanaishi na VVU ,maambukizi mapya kila mwaka ni watu 81,000 tuendelee kujikinga na kuwa na tahadhari na maambukizi mapya"alibainisha .

Mkongea alieleza, mkoa wa Njombe unaoongoza kwa maambulizi nchini kwa asilimia 11.4,Iringa asilimia 11.3,Mbeya asilimia 9.3,Mwanza asilimia 7.2 na Kagera 6.5 huku kitaifa ikiwa asilimia 4.7.

Kwa upande wake ,mkuu wa wilaya ya Kibiti ,GulamKifu alisema ,mwenge wa uhuru ukiwa Kibiti utapitia miradi 13 yenye gharama ya bilioni 2.59.

Alieleza katika miradi hiyo ,mradi mmoja utafunguliwa,mmoja utazinduliwa,miradi mitatu itawekwa jiwe la msingi na mingine nane itatembelewa.

 Nae mbunge wa viti maalum mkoani Pwani, ambae pia ni naibu waziri wa nishati Subira Mgalu aliwahamasisha wananchi kujitokeza katika shughuli za uwekaji jiwe la msingi.

Matangazo

  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Baraza la Biashara Mkoa wa Pwani July 04, 2023
  • Uzinduzi wa Program Jumuishi ya Malezi , Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto Mkoa wa Pwani October 04, 2023
  • KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA PWANI, OKTOBA 11,2023 October 10, 2023
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RS Pwani Yaibuka Kidedea kwa Ushindi wa "-1 Dhidi ya Kibaha TC

    May 01, 2025
  • Rais Samia Apongezwa kwa kuwa Kiongozi wa Mfano katika Maadhimisho ya Mei Mosi Mkoani Pwani

    May 01, 2025
  • RC Kunenge Aagiza CORECU Kutekeleza Maomo ya Rais Samia Kuhusub Ushirika

    April 30, 2025
  • Spika Tulia Asisitiza Umuhimu wa Muungano katika kuimarisha Umoja na Amani

    April 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.