• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • TasksMIS |
    • Events Portal |
Coast Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Pwani

RC Ndikilo awajia juu watendaji Bagamoyo kwa kushindwa kutatua kero za wananchi.

Posted on: August 13th, 2020

Mkuu wa mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo ,amewajia juu maafisa tarafa ,watendaji wa vijiji na kata ,wilayani Bagamoyo kuhakikisha wanatimiza wajibu wao wa kazi na kutatua kero za wananchi ikiwemo migogoro ya ardhi ,ndani ya mwezi mmoja kabla hajachukua maamuzi mazito dhidi yao .

Aidha ameeleza ,wilaya hiyo imehemewa na migogoro ya ardhi hali inayosababisha baadhi ya wananchi badala ya kukimbizana na maendeleo wanakimbizana na mashauri ya migogoro hiyo katika mabaraza ya ardhi na mahakamani .

Akizungumza katika ziara yake aliyoianza mkoani Pwani ,kusikiliza kero za wananchi ,akianzia Bagamoyo ,Ndikilo ameshtushwa kupokea malalamiko mbalimbali 88 ambayo mengi yapo ndani ya uwezo wa kutatuliwa ngazi ya chini.

Ndikilo alielezea ,mabaraza ya ardhi kata pia hayafanyi kazi kiufanisi na ni chanzo cha migogoro hali inayosababisha baraza la ardhi Kibaha kuhemewa na mashauri .

"Hii inaashiria watendaji wa chini hawawajibiki ,naweza kuandika mapendekezo muondoke wote na nawapa salamu msipokaa sawa mtaondoka"

Hata hivyo Ndikilo alibainisha ,idara ya ardhi ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo wasichelewe kufanya maamuzi ya mashauri ya wananchi kwani inasababisha kero .

"Mchukue hatua haraka kulingana na mashauri yao ,malizeni kwa muda mfupi ,"; Wananchi wanataka haki zao ,teteeni wanyonge kama hana haki ijulikane kuliko kuzungushwa :" alisisitiza Ndikilo .

Pamoja na hilo ,mkuu huyo wa mkoa alivitaka vyombo vya dola kushughulikia vikundi vya kiuhalifu vinavyolalamikiwa na wauzaji ardhi wanaotumia mabavu ili kulinda raia na mali zao .

Nae mkuu wa wilaya ya Bagamoyo ,Zainab Kawawa alisema ,kila mtendaji atimize wajibu wake badala ya kusubiri viongozi wa juu wafikishiwe malalamiko ambayo wangeweza kuyatatua .

Alieleza kero zinazohusu kushughulikiwa na ofisi ya mkuu wa wilaya atazifanyia kazi na zipo ambazo kishaanza kuzishughulikia .

Kwa upande wa wananchi akiwemo Swaiba ,mzee Hussein Mfaume ,Asha Mwambala na Amina Ramadhani wameshukuru ziara hiyo kufanyika kwani wametoa kiu yao .

Bi Asha Mwambala alielezea kwamba ,anakabiliwa na mgogoro wa ardhi miaka mingi sasa na tatizo lipo katika kuchelewesha mashauri wanayoyapeleka.

Aliomba kero za migogoro ya ardhi zitatuliwe ili kurejesha amani kwa wananchi .

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC Kunenge Atoa Muongozo wa Utekelezaji wa Shughuli za Serikali Mkoani Pwani

    January 09, 2026
  • Pwani yaenedelea Kuzalisha Ajira Kuumuunga Mkono Mhe Rais Kupitia Uwekezaji wa Viwanda

    January 05, 2026
  • Hakikisheni Mradi wa bwawa la maji Kidunda Hausimami _ Dkt Mwigulu

    January 02, 2026
  • Zaid ya Ajira 4,000 Kuzalishwa Bagamoyo kufuatia Makampuni Sita Kusini Mikataba Bemc Sez.

    December 31, 2025
  • Tazama Zote

Video

Coast Region Investment opportunities
Video Nyingine

Kurasa za Haraka

  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Hotuba za Mkuu wa Mkoa
  • Mpango Mkakati wa Mkoa
  • Investment Opportunity Profile
  • Taarifa mbalimbali kuhusu Mkoa
  • Maktaba ya Picha
  • Barua pepe za watumishi

Tovuti Zinazoshahabiana

  • OR-TAMISEMI
  • OR - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Wakala ya serikali Mtandao
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Visitors Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani

    Sanduku la Posta: 30080 Kibaha

    Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500

    Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500

    Barua pepe: barua@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • Toto Togel
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DANATOTO
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98