Mkuu wa Mkoa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akiangalia kifaa cha kupima mwendo kasi wa gari wakati wa sherehe za kilele cha wiki ya nenda kwa Usalama Barabarani Mjini Kibaha
Mkuu wa Mkoa Pwani akipata maelekezo ya namna ya kutumia kifaa cha kupima kiasi cha pombe kwa madeva wa magari
Mkuu wa Mkoa wa Pwani akipata maelezo kutoka kwa Afisa Habari wa Jeshi la Zimamoto Mkoa wa Pwani namna ya kutumia kifaa cha kuzimia moto kwenye magari.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe.Mhandisi Evarist Ndikilo akikagua baadhi ya mitungi ya kuzimia moto katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya nenda kwa usalama Mjini Kibaha.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.