Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Pwani Mhe: Abubakar Kunenge anawakaribisha wajumbe wote wa kikao cha bodi ya Barabara kinachotarajia kufanyika Machi 4,2025 katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. katika kikao hicho taarifa mbalimbali zitajadiliw.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.