Wednesday 26th, March 2025
@Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe.m Abubakar Kunenge anawakaribisha wajumbe na Wadau wote wa kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa kinachotarajiwa kufanyika tarehe 12 Oktoba 2023 katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa Mkoa kuanzia saa 4:00 asubuhi. wote mnaombwa kufika bila kukosa kuja kujadili suala zima la mandeleo ya Mkoa wa Pwani.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.