Saturday 21st, December 2024
@Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge anawakaribisha Wajumbe na wadau wote wa Maendeleo ya Mkoa kwenye kikao cha kamati ya ushauri ya Mkoa kitakachofanyika tarehe 7 Marchi, 2024 katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
Karibuni tushiriki majadiliano ya Maendeleo ya Mkoa wa Pwani.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.