Friday 21st, February 2025
@Kimkoa Wilayani Mkuranga
Mkoa wa Pwani unaratajia kuadhimisha siku ya Wananwake Dunian Macho 8,2025, ambapo maadhimisho hayo Kimkoa yanatarajia kufanyika Wilayani Mkuranga na Rasmi anatarajiwa kuwa Mhe. Abubakar Kunenge Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
Lengo kuu la Maadhimisho ya siku hii ni kutathmini utekelezaji wa Ajenda ya uswa wa kijinsia ,haki na uwezeshaji wa wananwake katika masuala ya maendeleo ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni nchini. Kauli biu ya mwaka huu ni 'Wanawake na Wasichana 2025, tuimarishe haki, Usawa na Uwezeshaji'.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.