Wednesday 4th, December 2024
@Pwani
Mkoa wa Pwani Unatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru tarehe 12/1/2018 kutoka Mkoa wa Dar es Salam, ambapo ukiwa mkoani Pwani Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Halmashauri zote tisa za Mkoa wa Pwani na kukabidhiwa Mkoa wa Morogoro tarehe 21/7/2017.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.