Wednesday 4th, December 2024
@Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Mkoa Pwani yatafanyika katika viwanja vya bustani ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani kuanzia tarehe 17-21 Juni 2019 . katika maadhimisho hayo kutakuwa na Fursa ya kusikiliza kero za Wananchi na watumishi tarehe 20-21/6/2019 wote Mnakaribishwa .
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Sanduku la Posta: 30080 Kibaha
Simu ya Mezani: 023 2402287/2402500
Simu ya Mkononi: 023 2402287/2402500
Barua pepe: barua@pwani.go.tz
Hakimiliki ©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani. Haki zote zimehifadhiwa.