Posted on: March 28th, 2018
Jeshi la Polisi Mkoa Pwani limewakamata wahamiaji haramu 10, kwa kosa la kuingia nchini bila kibali.
Akiongea na waandishi wa Habari ofisini kwake mwanzoni mwa wiki hii, Kamanda wa Polisi Mko...
Posted on: March 27th, 2018
“Napenda kutoa Rai kwa Wakulima wote wa Korosho Mkoa Pwani, kuwa waende katika shamba darasa la Ruvu JKT kwa ajili ya kujifunza namna ya upandaji wa miche ya Korosho ya kisasa”.
Rai hiyo ...
Posted on: March 25th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist Ndikilo, ameutaka uongozi wa DAWASA Mkoani Pwani kuhakikisha wanawasimamia vizuri wakandarasi waliopewa kutekeleza mradi wa usambazaji maji katika mae...