Posted on: October 19th, 2018
Kiwango cha Maambukizi ya Ugonjwa wa UKIMWI Mkoani Pwani kimeshuka kutoka asilimia 7.1kwa mwaka 2003 hadi asilimia 5.5 Mwaka 2017.
Hayo yalisemwa mjini Kibaha na Mkuu wa Mkoa wa Pwani M...
Posted on: October 9th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Evarist Ndikilo,amepokea msaada wa mifuko 300 ya saruji yenye thamani ya Sh milioni nne kutoka katika kampuni ya uzalishaji wa saruji ya Kisarawe Cement iliyopo katika Wilaya ya ...
Posted on: October 4th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh. Mhandisi Evarist Ndikilo amewataka wadau wote wa korosho wenye uwezo Mkoani hapa kujenga maghala makubwa na ya kisasa kwa ajili ya kuhifadhia korosho.
Wito huo ameut...