Posted on: May 3rd, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo awataka waajiri na wafanyakazi kuheshimu sheria za utumishi wa umma kwa kila mmoja kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria za nchi.
Mhe Nd...
Posted on: May 2nd, 2018
JUMLA ya akinamama 20,815 waliofanyiwa uchunguzi wa saratani ya mlango wa shingo ya kizazi mkoani Pwani katika kipindi cha miaka mitatu kati yao 530 walikutwa na dalili za awali za saratani hiyo,ambap...
Posted on: April 25th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Mhandisi Evarist Ndikilo,ametoa onyo kwa mtu atakaejaribu kuzuia watoto ,kupata chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi, ambapo zoezi hilo linatarajiwa kuzinduliwa kimkoa ...