Posted on: February 28th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ametangaza kuwa mkoa huo utakuwa mwenyeji wa uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2025. Hafla hiyo itafanyika tarehe 2 Aprili 2025 katika viwanja ...
Posted on: February 26th, 2025
Tume ya Utumishi wa Mahakama imetoa mafunzo kwa wajumbe wa Kamati za Maadili ya Mahakama ngazi ya mkoa na wilaya katika Mkoa wa Pwani. Mafunzo haya yamelenga kuwajengea uwezo, kuongeza uelewa na ujuzi...
Posted on: February 24th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, leo Februari ,2025 amezindua rasmi Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Samia Legal Aid) katika viwanja vya Maili Moja, Wilaya ya...