Posted on: April 18th, 2024
Jeshi la Wananchi wa Tanzania limetoamagari kumi kwa ajili ya kusaidia kusafirisha vyakula kwenda kwenye makambi yawaathirika wa mafuriko walioko kwenye Wilaya za Rufiji na Kibiti Mkoa wa Pwa...
Posted on: April 17th, 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wananchi waliokumbwa na adha ya mafuriko nchini waendelee kuwa watulivu wakati Serikali ikiendelea kuratibu utoaji wa misaada kwenye maeneo yaliyoathirika.
“Ba...
Posted on: April 16th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Abubakar Kunenge amepokea misaada ikiwemo unga tani 6.4, maharage kilo 666, magodoro 186 vyenye thamani ya 20mil kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori Tanzania (TAWA) .
...