Posted on: September 6th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amezindua Kliniki ya Ardhi katika Kata ya Vikindu, wilayani Mkuranga.
Kliniki hiyo ambayo imezinduliwa Sept 6 lengo lake ni kusaidia wananchi wa wilaya hiyo...
Posted on: September 5th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mheshimiwa Abubakari Kunenge, amehimiza ushirikiano miongoni mwa viongozi wa mkoa huo ili kurahisisha utatuzi wa changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi.
Kunenge alitoa...
Posted on: September 4th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amelipongeza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kikosi Cha Ruvu kwa juhudi za kuchangia maendeleo ya sekta ya uchumi.
Kunenge ametoa pongezi hizo Sept.04 aliposhi...