Posted on: April 25th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Pwani mhe Abubakar Kunengeleo April 25, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Ilse Boshoff Mkurugenzi Mtendaji wa Afrika Mashariki na Tanzania wa Kiwanda cha kuzalisha Gypsum board. ...
Posted on: April 22nd, 2022
MKuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge,amewataka wananchi wa Kitongoji cha Sanzale kilichopo Kata ya Magomeni Wilayani Bagamoyokuhakikisha wanalipia fidia ya eneo walilovamia kama yalivyo makubuliano ...
Posted on: April 22nd, 2022
Jumla ya watoto 200,967 waliochini ya miaka mitano mkoani Pwani wanatarajia kupata chanjo ya matone (POLIO) ili kuwajengea kinga na kuzuia kuenea kwa virusi hivyo.
Watoto hao wanatarajia kupatiwa c...