Posted on: March 10th, 2020
Wakala wa Barabara Mkoani wa Pwani (TANROADS) imesema ongezeko la shughuli za kilimo kandokando ya mito hususani ndani ya mto Rufiji zinachangia kuzuia maji kupita na kukusanya mchanga katikati ya dar...
Posted on: March 4th, 2020
Serikali Mkoani Pwani ,imeridhishwa na utekelezaji wa miradi iliyo chini ya DAWASA ,pamoja na mkakati wake wa kufikisha maji safi na salama maeneo ya viwanda ikiwemo mradi wa maji Chalinze -Mboga utak...
Posted on: February 28th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Mhandisi Evarist Ndikilo amekabidhiwa Miradi ya Sekta ya Elimu na Afya yenye thamani ya Shilingi za kitanzania milioni 425.7 ambapo miradi hiyo hiyo imetekelezwa na Shirika la Hifadhi ...