Posted on: September 15th, 2021
Waziri wa nchi, OR-TAMISEMI Ummy Mwalimu ameelekeza ofisi yake kugharamia ujenzi wa shule mbili za Sekondari kwenye Kata ya Kawawa na Gwata halmashauri ya Wilaya ya Kibaha ili kuwaondolea adha ya ukos...
Posted on: September 12th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Abubakar Kunenge amemuagiza mkandarasi anayejenga daraja la Mbuchi ,wilaya ya Kibiti kuharakisha ujenzi ili kuwaondolea kero wananchi wanayoipata kwa sasa.
Kunenge aliyasema ...
Posted on: September 11th, 2021
Serikali imetenga kiasi cha shilingi Bilion 40.1 kwa ajili ya ujenzi wa barabara zinazosimamiwa na TARURA Mkoani Pwani.
Hayo yamebainishwa Septemba 11, 2021 na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari...