Posted on: July 17th, 2025
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Nsajigwa Geoge ameeleza kuwa Serikali imefanya jambo kubwa na lenye tija kuanzisha mradi wa ukarabati wa reli ya kati wa awamu ya Pili kutoka Dar es Salaam hadi Isaka...
Posted on: July 15th, 2025
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Pili Mnyema leo Julai 15, 2025, ameongoza kikao kazi na viongozi mbalimbali wa Mkoa huo kilicholenga kujitambulisha, kuimarisha mshikamano wa kiuongozi na kuweka msisit...
Posted on: July 15th, 2025
Leo Julai 15, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ulioongozwa na Mkuu wa Biashara wa Benki hiyo, Bw. Moses M...