Posted on: August 12th, 2025
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Pili Mnyema, ameanza ziara ya kikazi katika Halmashauri zote za Mkoa huo kutembelea, kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na watumishi.
Katika ziara hiyo iliyoanza...
Posted on: August 8th, 2025
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, kampuni ya FARMBASE Ltd, na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) wameibuka vinara katika Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane Kanda ya Mashariki 2025 yaliyofan...
Posted on: August 7th, 2025
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Peter Billa, leo amepokea ugeni kutoka Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya RUWASA Taifa, Mhandisi Ruth S....