Posted on: June 10th, 2017
Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa, Amor Hamad Amor ameupongeza Mkoa wa Pwani kwa kusheheni viwanda mbalimbali na kuiomba jamii ivitumie kwa lengo la kujikwamua kiuchumi.
Aidha amewataka wawekezaji...
Posted on: June 9th, 2017
Rais mstaafu wa awamu ya nne ambae pia ni mkulima wa matunda ya mananasi,Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amewataka wamiliki wa viwanda vya matunda kuacha kuwakandamiza wakulima kwa kununua matunda kw...
Posted on: June 1st, 2017
Mwenge wa Uhuru umeanza mbio zake Mkoani Pwani ambapo unatarajiwa kutembelea miradi 81 yenye thamani ya sh.bil 225,132,007, 721(Billioni miambili ishirini na tano, milion miamoja thelathini na mbili n...