Posted on: June 18th, 2024
Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Mafia kwa kufanikiwa kuongeza vyanzo vya mapato na kupata hati safi.
Kunenge ameyasema hayo katika kikao cha kujadili ho...
Posted on: June 15th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Alhaji Abubakari Kunenge amemuapisha Petro Magoti (Juni 14) kuwa mkuu mpya wa Wilaya ya Kisarawe na kumuagiza kuhakikisha anaweka kipaumbele katika sualazima la ulinzi na usalama...
Posted on: June 12th, 2024
Chama cha watu wenye ualbino Tanzania (TAS) kimeiomba Mahakama kutoa adhabu kali kwa watu wanaokutwa na hatia ya kuwakata viungo au kuwaua watu wenye Ualbino.
Hayo yamesemwa leo Juni 12, 2024 mjini...